Zamani watu waliishi tu kwenye ndoa zao huku wakiwa hawana ubunifu kwenye mapenzi wala upendo lakini pia kwenye tendo walikuwa tu wakifanya kama kutimiza wajibu nasio burudani nakufurahishana pia mengi yalifanywa kizamanizamani lakini sasa hatuwezi kuishi kizamani kwasababu wanawake ni waelewa na wanaume ni waelewa wote wanataka ujanja na mbinu mpya tu Suruhisho ni website hii ni mapenzi ya kisasa inakuruhusu kupata ujanja kutoka kwa ndugu.jamaa.na marafiki. Kwani niruksa kuchapisha na kutoa maoni mtu yeyote.
Kama una swali kuhusu website hii au kama una maoni ambayo unatamani kutueleza au kama unataka kukosoa. Usisite wala usiogope kwasababu neno lako tutaritumia kuboresha website hii karibu na utume maoni yako kwa namba +255784671579